![]() |
| hapo vipi imetulia Eeh haya ndio mapenzi bwana, zubaa uibiwe |
ZIJUE
NJIA ZA KUMMILIKI MPENZI WAKO NA KUMPAGAWISHA WAKATI WA TENDO kwa wakina dada
UTANGULIZI
Habari
ndugu wasomaji wa makala hii ya MAPENZI BORA iliyoandikwa na kuletwa kwenu na
mtaafiti na mshauri wa mambo ya Ndoa, Mahusiano, na Mapenzi kwa ujumla Dk.
Kiofa (King of relationship). Leo katika makala yetu hii nitazungumza na akina
dada juu ya mbinu na mambo ambayo huwafanya wanaume kujisikia wako ulimwengu
mwingine wakati wa tendo la ndoa. Kuna umuhimu mkubwa sana kwa mwanamke
kujifunza mambo haya na kuyafanyia kazi ili kuweza kumdhibiti mpenzi wako.
Imekuwa
kawaida leo hii kwa wanaume walio wengi kuwa na nyumba ndogo, hii yote ni
katika kutafuta mapenzi motomoto ambayo yatampagawisha. Akina dada mlio wengi
leo hii mmejisahau sana kwa wapenzi wenu kiasi cha kwamba wanatoka nje ya
mahusiano. Leo hii 75% ya watu nduniani ni wanawake na 25% tu ni wanaume kwa
idadi hiyo wanawake ni mara tatu ya wanaume, niwengi sana hivyo kwenye kila
wanawake 75, 25 tu ndio wanaoweza kuwa na wanaume wengine walio baki huwa hawana
wanaume wao wa kudumu, hivyo hutumia kila mbinu kuweza kupata mwanaume ambae
atamliwaza kama wanawake wengine. Hivyo yakupasa uwe na kila mbinu za kuweza
kumfanya mpenzi wako akukumbuke kila mara na kutoweza kutoka nje ya mahusiano.
Fuatili makala hii hadi mwisho, uielewe, uifanyie kazi halafu utaona matokeo
yake.
Jinsi
ya kumteka mumeo katika suala la ndoa na kumfanya asitoke njee ya mahusiano
tutaangalia sehemu kuu tatu Kabla, Wakati na Baada ya tendo. Utajifunza
taratibu na maeneo ambayo kitaalamu huwa yanamificho ya mihemko ya mwanaume na
kumfanya mpenzi wako kujisikia raha wakati wote wa tendo.
SEHEMU
YA KWANZA (Kabla ya Tendo)
Kabla
ya tendo la ndoa kuna mambo mengi sana sana yakupasa kuyajua na kuweza
kuyafanya wakati huo:
1. Usafi wa mwili; Kitu cha kwanza kukizingatia kabla ya yote
lazima mwanamke uuweke mwili wako safi kabla ya tendo. Hii ikiwemo na kuoga
mwili mzima, kusafisha sehemu zako za siri ikiwemo na mahala popote ambapo
pamefichika kwani sehemu hizo wanaume walio wengi na wanaojua mapenzi hupenda
kuzichezea sehemu hizo kwakua ndizo ambazo huhifadhi mihemko ya mwanamke.
Baadhi ya wanawake hujisahau kujisafisha vizuri na kutoa jasho tu lililopo
katika miili yao bila kusafisha sehemu nyenginezo ambazo hutumika katika
masuala mazima ya tendo la ndoa huvyo kutokana na harufu za baadhi ya sehemu
humpunguzia mwanaume hamu ya kitendo. Hakikisha masikio na kitonvu chako vipo
safi. Pia hakikisha sehemu ya magoti yako kwa nyuma zipo safi
2. Usafi wa chumba/mahali pakufanyia
tendo; hakikisha unasafisha chumba au mahali ambapo
umepaanda kwa ajili ya kuja kumliwaza mwenzi wako kabla hajafika eneo la tukio.
Hii ikiwemo na kutandika kitanda vizuri sana kwa rangi za upendo (nyekundu)
kama hauna basi jitahidi kpata rangi yeyote ambayo ni nzuri Ila usiweke shuka
jeusi kwani rangi nyeusi ni rangi ya uzuni, pia kuweka manukato mazuri sana
ikiwemo maua, kama ni wakati wa usiku ni vizuri kuandaa mishumaa au taa ya
rangi
3. Vaa nguo fupi (short skirt); vaa nguo fupi (nusu uchi), hii humfanya
mwanaume kupata mihemko pindi anapokuona, pia humuandaa kisaikolojia na
kuufanya mwili wake kuwa tayari pindi utakapohitajika. Baadhi ya wanawake
hupenda kuvaa nguo fupi watokapo na kuwaonesha watu wengine sehemu zao muhimu
lakini hawafanyi hivyo kwa wapenzi wao pindi wawapo ndani hii sio tabia nzuri
jamani, muonesho mumeo kwamba hakubahatisha kukuchangua wewe. Hakikisha nguo
zako za ndani (chupi na sidiria) ziko safi na zenye mvuto.
4. Usimuudhi mpenzi wako; hakikisha
kwamba husababishi maudhi ya aina yeyote kwa mpenzi wako, ikiwemo lugha chafu,
kumzungumzia na kumsifia mwanaume mwengine, mpambe mpenzi wako kwa majina
mazuri (Baby, honey, my sweet, na mengineyo kama hayo) kabla ya tendo. Baadhi
ya wanawake huwaita waume zao majina mazuri wakati wanapopewa zawadi tu au
wakati wanapofikishwa kileleni hii sio sawa kabisa, sababu huu utakuwa ni
unafiki mwanaume aweze kukufikisha kileleni anaitaji maandalizi bibi eeh,
muandae kwa majina mazuri ili ajisikie furaha mwili upate kutulia kwani wengine
huwa wameudhiwa huko walipotoka sasa unatakiwa kumtoa alipo na kusahau kabisa.
kwani kitaalamu mwili unapotulia (relax) huondosha msongo wa mawazo hivyo
utakuwa umeufanya ubongo wake uweze kukuwaza wewe wakati wote. itaendelea usikose kutembelea tovuti hii kila siku

No comments:
Post a Comment