Sakata la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kujigawa bado linapamba kasi kwa Baadhi ya viongozi na vigogo wa chama hicho kuunda chama kipya kijulikanacho kwa Alliance for change and transparent (chama cha uwazi na uwajibikaji). chama hicho huongozwa na Mh. Zitto kabwe Mbunge wa Kigoma kaskaziniFriday, 21 February 2014
CHADEMA yajigawa
Sakata la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kujigawa bado linapamba kasi kwa Baadhi ya viongozi na vigogo wa chama hicho kuunda chama kipya kijulikanacho kwa Alliance for change and transparent (chama cha uwazi na uwajibikaji). chama hicho huongozwa na Mh. Zitto kabwe Mbunge wa Kigoma kaskazini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
AJALI YA MOTO SHULE YA OLD TANGA
Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...
-
Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...
-
MPYA KALI BLOGS by J&M COMPANY: AJALI MBAYA YAUA ARUSHA
-
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr.John Pombe Joseph Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na mbunge wa mtama Mh. Nape Nauye. ...
No comments:
Post a Comment