Lile sakata la wasanii wa tasnia ya filamu nchi kujihusisha na vitendo vya ukahaba limechukuwa sura mpya baada ya mmoja wa wasanii hao ajulikanae kama Isabella Francis a.k.a "Vai wa ukweli" kunaswa mtegoni na makachero wa kampuni ya Global publisher. tukio hilo la aibu na lakufedhehesha kwa kikundi hicho cha filamu lilitokea usiku wa kuamkia Jumanne iliyopita maeneo ya sinza Vatican jijini Dar es salaam ambapo msanii huyo baada ya kuumbuka alijikuta akiangua kilio na kuomba siri hiyo isivuje. Aidha inasemekana Vai aliingia mtegoni bila ya kujua kuwa yupo mtegoni kwa kile kuaidiwa kiasi cha shilingi Laki tano na mmoja wa makachero wa Global publisher aliyejitambulisha kwa Vai kama Salum akitokea Arusha na kumtaka vai amtumie kwa ajili ya kumpa raha kwa malipo (kujiuza mwili). Mwanzoni msanii huyo aliaza kwa kukataa na kujifanya hana mchezo huo mchafu lakini kachero huyo alikaza uzi zaidi na kufanikisha Vai kuingia mtegoni kwa makubaliano ya kumlipa laki tano ambapo Vai mwanzoni alita kulipwa shilingi mil moja ndipo wakashushana. wlikubaliana kukutana ndipo huko alipoenda kuumbuka baada ya kachero huyo kumtambulisha kuwa yeye ni kachero wa global publisher. Hata hivyo viongozi wa Bongo move baada ya kutokea tukio hilo walitafutwa. Mwenyekiti Steve Nyerere alisema kuwa lazima wawafukuze wasanii wate wanaoitia aibu Bongo move. Hata hivyo bado inasemekana kuna idadi kubwa ya wasanii wanaofanya tabia hizo na Bado wanaendelewa kufuatiliwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
AJALI YA MOTO SHULE YA OLD TANGA
Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...
-
Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...
-
MPYA KALI BLOGS by J&M COMPANY: AJALI MBAYA YAUA ARUSHA
-
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr.John Pombe Joseph Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na mbunge wa mtama Mh. Nape Nauye. ...
No comments:
Post a Comment