Thursday, 27 February 2014

Kwa staili hii, hata Div IV iwe 60 bado watapata zero

        Baada ya matokeo ya kidato cha nne 2013 kutoka hivi karibuni, yamesikika mengi kwa wadau wa elimu kutokana na ufaulu mbovu wa wanafunzi. Ingawaje Serikali kupitia wizara yake ya elimu na ufundi imepunguza alama za ufaulu. Hii inasemekana ni kutokana na tabia za wanafunzi kujihusisha zaidi na mambo ya ukahaba. Akiongea na paparazi wetu mzee moja (jina limehifadhiwa) aishie Keko machungwa jijini Dar es salaam amesema " tatizo kubwa ni watoto wenyewe, siku hizi wamekuwa wakienda shule na nguo fupi sana huku maungo yao ya mwili yakiwa wazi, na wengi wao kati ya wenye tabia hizo huwa huishia kwa wanaume" alisema mzee huyo. 

No comments:

Post a Comment

AJALI YA MOTO SHULE YA OLD TANGA

Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...