Tuesday, 18 February 2014

MWANAMKE ABAKWA KISHA KUNYONGWA

MWANAMKE mmoja mkazi wa kijiji cha Upendo mkoani Mbeya Maria Mwamangu (56) ameuawa kwa kunyongwa na kisha mwili wake kutelekezwa chumbani mwake.Kabla ya kunyongwa, mwanamke huyo aliharibiwa vibaya sehemu za siri kwa kubakwa na watu wasiojulikana.Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Robert Mayala alisema tukio limetokea usiku wa kuamkia jana na mwili wa marehemu ulikutwa jana mchana

No comments:

Post a Comment

AJALI YA MOTO SHULE YA OLD TANGA

Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...