Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Saidi Mchuma ambae inadaiwa kuwa ni mpwa wa aliyekuwa Inspekta Jenerali wa Jeshi la polisi, (IGP) Alhaji Omar Idd Mahita, amajinyonga ukweni kwa kutumia shuka.
Tukio hilo limetokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Manispaa ya Morogoro. Marehemu alichukuwa uamuzi huo baada ya miaka saba tangu mkewe ambaye jina lake halikufahamika kufariki dunia. tangu kufa kwa mkewe marehemu hakufika ukweni ambapo kufika kwake kila mtu alishaa. marehemu alipewa chumba cha kulala baada ya muda mtu mmoja alishuhudia akiwa amejinyonga kwa kutumia shuka. Mwenyekiti wa serikali ya mtaa Bw. Mohamedi Seif alisibitisha kutokea kwa tukio hilo, pia jeshi la polisi mkowa wa Morogoro limethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Marehemu ameacha mtoto mmoja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
AJALI YA MOTO SHULE YA OLD TANGA
Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...
-
Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...
-
MPYA KALI BLOGS by J&M COMPANY: AJALI MBAYA YAUA ARUSHA
-
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr.John Pombe Joseph Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na mbunge wa mtama Mh. Nape Nauye. ...

No comments:
Post a Comment