Wednesday, 18 September 2019

AJALI YA MOTO SHULE YA OLD TANGA




Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo ambayo imeteketeza jengo la mikutano na chumba cha kuhifadhia vifaa bado hakijulikana

Sunday, 15 September 2019

JPM AKUTANA NA NAPE

Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr.John Pombe Joseph Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na mbunge wa mtama Mh. Nape Nauye. Ikulu jijini Dar es salaam.

Saturday, 6 May 2017

MPYA KALI BLOGS by J&M COMPANY: AJALI MBAYA YAUA ARUSHA

MPYA KALI BLOGS by J&M COMPANY: AJALI MBAYA YAUA ARUSHA

AJALI MBAYA YAUA ARUSHA



Arusha. gari ndogo aina ya coster ime0ata ajali na kuua zaidi ya wanafunzi 16. wanafunzi hao wa sheule ya lucky vicent sec school . iliyoko norombo jijini arusha walikuwa wakielekea shule rafiki kwa ajili ya kufanya mitihani ya kujipima ya ujirani mwema. ajali hiyo imetoke eneo la rotia karatu leo asubuhi. mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi, pia awape roho za ujasiri na uvumilivu familia za wanafunzi hao  aamin

Friday, 3 March 2017

JE UNATAFUTA USAFIRI WA KWENDA MOSHI-ARUSHA, NA NAIROBI???????

JIBU LAKO NI TAHMEED COACH

SAFIRI NA TAHMEED COACH , BUS LA KISASA LENYE HUDUMA MBALIMBALI ZA KISASA


YALIYOMO
1. free wife
2. tablet on each seat
3. cctv cameras for securing 
4. personalized charging system
5. tvs

safiri na tahmeed kwa safari salama na yenye utulivu

kwa mawasiano 
 TAHMEED DAR ES SALAAM  +255784818814
TAHMEED NAIROBI                  +254724581902
ARUSHA OFFICE                       +255743570221  

DAR- NAIROBI     TSH  65000/=
DAR-ARUSHA       TSH  35000/=
  

SAFIRI NA TAHMEED COACH KWA GHARAMA NAFUU KABISA   
 

Tuesday, 23 June 2015

Ramadhani kariim

Habari za Leo mpezi msomaji Wa ukurasa we huu. nawatakia kheri ya mwezi huu mtukufu Wa ramadhani kwa wale wrote ambao wako katika funga. Mungu awabariki Sana na awalipe kila lililo la kheri. Ahsanteni Sana. RAMADHANI AL-KARIIM

Thursday, 27 February 2014

Kwa staili hii, hata Div IV iwe 60 bado watapata zero

        Baada ya matokeo ya kidato cha nne 2013 kutoka hivi karibuni, yamesikika mengi kwa wadau wa elimu kutokana na ufaulu mbovu wa wanafunzi. Ingawaje Serikali kupitia wizara yake ya elimu na ufundi imepunguza alama za ufaulu. Hii inasemekana ni kutokana na tabia za wanafunzi kujihusisha zaidi na mambo ya ukahaba. Akiongea na paparazi wetu mzee moja (jina limehifadhiwa) aishie Keko machungwa jijini Dar es salaam amesema " tatizo kubwa ni watoto wenyewe, siku hizi wamekuwa wakienda shule na nguo fupi sana huku maungo yao ya mwili yakiwa wazi, na wengi wao kati ya wenye tabia hizo huwa huishia kwa wanaume" alisema mzee huyo. 

AJALI YA MOTO SHULE YA OLD TANGA

Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...