Msanii wa filamu na mmiliki wa kampuni ya utengenezaji wa filamu (RJ production) nchini Tanzania Bw. Vicent Kigosi (Ray) amefunguka na kuelezea hisia zake katika suala la michezo. Msanii huyo ambae ni nyota wa filamu nchini Tanzania ameeleza kuwa yeye ni shabiki mkuwa wa vijana wa jangwani Young African (YANGA FC) na kuelezea kuwa anamapenzi ya dhati na timu hiyo tangu akiwa na umri wa miaka saba. Pia ameelezea sintosahau yake juu ya wapinzani wao wa jadi Simba Fc kwa kukomboa bado tano ambazo walifungwa mnamo dakika arobaini za kipindi cha kwanza na vijana hao wa jangwani lakini kipindi cha pili kikageuka kichungu kwa vijana hao wa jangwani na kuwa faraja kubwa baada ya Simba kurejesha magoli yote matatu. Ray amesema kuwa kitendo hicho hato kisahau kabisa katika maisha yake kwa sababu yeye ni mshabiki wa Yanga damu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
AJALI YA MOTO SHULE YA OLD TANGA
Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...
-
Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...
-
MPYA KALI BLOGS by J&M COMPANY: AJALI MBAYA YAUA ARUSHA
-
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr.John Pombe Joseph Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na mbunge wa mtama Mh. Nape Nauye. ...

No comments:
Post a Comment