Saturday, 6 May 2017

AJALI MBAYA YAUA ARUSHA



Arusha. gari ndogo aina ya coster ime0ata ajali na kuua zaidi ya wanafunzi 16. wanafunzi hao wa sheule ya lucky vicent sec school . iliyoko norombo jijini arusha walikuwa wakielekea shule rafiki kwa ajili ya kufanya mitihani ya kujipima ya ujirani mwema. ajali hiyo imetoke eneo la rotia karatu leo asubuhi. mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi, pia awape roho za ujasiri na uvumilivu familia za wanafunzi hao  aamin

No comments:

Post a Comment

AJALI YA MOTO SHULE YA OLD TANGA

Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...