BADO HALI NI NGUMU UCHAGUZI 2015
Hali ya fukuto la kuelekea uchaguzi mkuu nchini Tanzania linazidi kupamba moto huku kila kiongozi anaetarajia kugombea nafasi za uongozi akitumia wakati huu kufanya kila ambalo linawezekana ili kuweza kuhakikisha kwamba anapata wafuasi wa kutosha ambao watamuunga mkono katika zoezi la upigaji kura. Hali hii imeonekana baada ya viongozi mbalimbali maarufu wa vyama vya siasa kikiwemo na chama tawala kuweka karibu zaidi na wananchi wakati huu.
No comments:
Post a Comment