Kadhalika PPRA, imeagiza GEPF kurejesha kiasi cha Sh847 milioni
kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na udanganyifu kwa kuagiza vifaa
kupitia msamaha wa kodi uliotolewa, ambapo vifaa hivyo havikutumika katika
mradi huo kwa mujibu wa maelewano.
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari jana Dar es Salaam , Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA,
Matern Lumbanga alisema timu ya wataalamu iliyoundwa kufanya uhakiki kuhusu
hoja zilizotolewa awali ambazo zilionyesha malipo yenye shaka yaliyofanywa na
taasisi hizo.

No comments:
Post a Comment