Saturday, 6 May 2017
AJALI MBAYA YAUA ARUSHA
Arusha. gari ndogo aina ya coster ime0ata ajali na kuua zaidi ya wanafunzi 16. wanafunzi hao wa sheule ya lucky vicent sec school . iliyoko norombo jijini arusha walikuwa wakielekea shule rafiki kwa ajili ya kufanya mitihani ya kujipima ya ujirani mwema. ajali hiyo imetoke eneo la rotia karatu leo asubuhi. mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi, pia awape roho za ujasiri na uvumilivu familia za wanafunzi hao aamin
Friday, 3 March 2017
JE UNATAFUTA USAFIRI WA KWENDA MOSHI-ARUSHA, NA NAIROBI???????
JIBU LAKO NI TAHMEED COACH
SAFIRI NA TAHMEED COACH , BUS LA KISASA LENYE HUDUMA MBALIMBALI ZA KISASA
1. free wife
2. tablet on each seat
3. cctv cameras for securing
4. personalized charging system
5. tvs
safiri na tahmeed kwa safari salama na yenye utulivu
kwa mawasiano
TAHMEED DAR ES SALAAM +255784818814
TAHMEED NAIROBI +254724581902
ARUSHA OFFICE +255743570221
DAR- NAIROBI TSH 65000/=
DAR-ARUSHA TSH 35000/=
SAFIRI NA TAHMEED COACH KWA GHARAMA NAFUU KABISA
Subscribe to:
Comments (Atom)
AJALI YA MOTO SHULE YA OLD TANGA
Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...
-
Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...
-
MPYA KALI BLOGS by J&M COMPANY: AJALI MBAYA YAUA ARUSHA
-
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr.John Pombe Joseph Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na mbunge wa mtama Mh. Nape Nauye. ...


