Thursday, 27 February 2014

Kwa staili hii, hata Div IV iwe 60 bado watapata zero

        Baada ya matokeo ya kidato cha nne 2013 kutoka hivi karibuni, yamesikika mengi kwa wadau wa elimu kutokana na ufaulu mbovu wa wanafunzi. Ingawaje Serikali kupitia wizara yake ya elimu na ufundi imepunguza alama za ufaulu. Hii inasemekana ni kutokana na tabia za wanafunzi kujihusisha zaidi na mambo ya ukahaba. Akiongea na paparazi wetu mzee moja (jina limehifadhiwa) aishie Keko machungwa jijini Dar es salaam amesema " tatizo kubwa ni watoto wenyewe, siku hizi wamekuwa wakienda shule na nguo fupi sana huku maungo yao ya mwili yakiwa wazi, na wengi wao kati ya wenye tabia hizo huwa huishia kwa wanaume" alisema mzee huyo. 

Wednesday, 26 February 2014

STATE OF CENTRAL AFRICA NOW

    what constitutes terrorism and who farewell to the beneficiaries of terrorism. today people are being killed but no one in the countries pretending to be gushing fight terrorism has intervened issue. This does not terrorism? or there are special people who are the target of this terrorism? today many people are killed and assaulted central Africa with an anti- Islam group . even those African leaders have remained silent , what are some reasons that are made ​​to give the hosts to a Al - Shabab and what today that prohibit providing forces to central Africa ? . clearly this is a war against Islam and Muslims . ALLAH says in the Glorious Qur-an that " no unwillingness to Jews and Christians until you follow their traditions " . today even the media we are accustomed to triumph over terrorism issue are silent. even TBC , ITV , CNN , BBC and otherwise . All this does not clear the exception ? I want answers and give your opinions what people should do to protect people who suffer central Africa . Because today is them, tomorrow it's you , the war still rages .


SENT TO US BY: Rajabu Vakina

WARNING : This site is for everyone, if you have news about anything , send us through                                                  existing contacts above. we do not care about tribal or religion to us is the news we declare as                        it  is upholding its authenticity. (Manager J & M company)


PRE-FORM V PRE-FORM V PRE-FORM V PRE-FORM V

PRE-FORM V PRE-FORM V PRE-FORM V

THE KING'S TUTION PROGRAMS

 Yule mtaalamu na bigwa wa masomo ya sayansi (physics &Mathematics) nchini king kiofa. Baada ya kufaulisha  group kubwa la vijana waliopitia kwenye mikono yake sasa amekuja tena. KING, KING, KING KIOFA (MP).

MASOMO:
Ø Advanced Mathematics (Pure): kwa watakao soma michepuo
     ya PCM, EGM, PGM, nk

Ø Basic Aplied Mathematics (BAM): kwa watakao soma michepuo ya PCB,CBG, CBE, nk

Ø Physics: kwa watakao soma michepuo ya PCM, PGM,PCB

MAHALI:
   Tupo keko machungwa karibu na Bar mpya ya keko (Dealers)

WAHI SASA OKOA MUDA, NJOO, MLETE KIJANA WAKO ANDALIWE NA KING KIOFA (MP) ILI KUMJENGEA MAZINGIRA MAZURI YA ELIMU YA ADVANCE

MAWASILIANO:

    WASILIANA NASI KWA NAMBA 0774220598 AU 0688240495. ‘BEI NAFUU” ‘BEI NAFUU” ‘BEI NAFUU’

Sunday, 23 February 2014

RAY AFUNGUKA JUU YA UPENZI WAKE KWA YANGA

     Msanii wa filamu na mmiliki wa kampuni ya utengenezaji wa filamu (RJ production) nchini Tanzania Bw. Vicent Kigosi (Ray) amefunguka na kuelezea hisia zake katika suala la michezo. Msanii huyo ambae ni nyota wa filamu nchini Tanzania ameeleza kuwa yeye ni shabiki mkuwa wa vijana wa jangwani Young African (YANGA FC) na kuelezea kuwa anamapenzi ya dhati na timu hiyo tangu akiwa na umri wa miaka saba. Pia ameelezea sintosahau yake juu ya wapinzani wao wa jadi Simba Fc kwa kukomboa bado tano ambazo walifungwa mnamo dakika arobaini za kipindi cha kwanza na vijana hao wa jangwani lakini kipindi cha pili kikageuka kichungu kwa vijana hao wa jangwani na kuwa faraja kubwa baada ya Simba kurejesha magoli yote matatu. Ray amesema kuwa kitendo hicho hato kisahau kabisa katika maisha yake kwa sababu yeye ni mshabiki wa Yanga damu. 

Friday, 21 February 2014

habari za kifo cha Will Smith ni uzushi



































   Habari za kifo cha muugizaji wa Marekani Will Smith zathibitika kuwa ni Uzushi na uongo ulioenea katika mitando mbalimbali ya kijamii.

CHADEMA yajigawa

        Sakata la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kujigawa bado linapamba kasi kwa Baadhi ya viongozi na vigogo wa chama hicho kuunda chama kipya kijulikanacho kwa  Alliance for change and transparent (chama cha uwazi na uwajibikaji). chama hicho huongozwa na Mh. Zitto kabwe Mbunge wa Kigoma kaskazini

Ukahaba Bongo Move bado ni Shida "Anaswa live"


  Lile sakata la wasanii wa tasnia ya filamu nchi kujihusisha na vitendo  vya ukahaba limechukuwa sura mpya baada ya mmoja wa wasanii hao ajulikanae kama Isabella Francis a.k.a "Vai wa ukweli" kunaswa mtegoni na makachero wa kampuni ya Global publisher. tukio hilo la aibu na lakufedhehesha kwa kikundi hicho cha filamu lilitokea usiku wa kuamkia Jumanne iliyopita  maeneo ya sinza Vatican jijini Dar es salaam ambapo msanii huyo baada ya kuumbuka alijikuta akiangua kilio na kuomba siri hiyo isivuje. Aidha inasemekana Vai aliingia mtegoni bila ya kujua kuwa yupo mtegoni kwa kile kuaidiwa kiasi cha shilingi Laki tano na mmoja wa makachero wa Global publisher aliyejitambulisha kwa Vai kama Salum akitokea Arusha na kumtaka vai amtumie kwa ajili ya kumpa raha kwa malipo (kujiuza mwili). Mwanzoni msanii huyo aliaza kwa kukataa na kujifanya hana mchezo huo mchafu lakini kachero huyo alikaza uzi zaidi na kufanikisha Vai kuingia mtegoni kwa makubaliano ya kumlipa laki tano ambapo Vai mwanzoni alita kulipwa shilingi mil moja ndipo wakashushana. wlikubaliana kukutana ndipo huko alipoenda kuumbuka baada ya kachero huyo kumtambulisha kuwa yeye ni kachero wa global publisher. Hata hivyo viongozi wa Bongo move baada ya kutokea tukio hilo walitafutwa. Mwenyekiti Steve Nyerere alisema kuwa lazima wawafukuze wasanii wate wanaoitia aibu Bongo move. Hata hivyo bado inasemekana kuna idadi kubwa ya wasanii wanaofanya tabia hizo na Bado wanaendelewa kufuatiliwa.

Wednesday, 19 February 2014

zijue njia za kummiliki mpenzi wako

hapo vipi imetulia Eeh haya ndio mapenzi bwana, zubaa uibiwe

ZIJUE NJIA ZA KUMMILIKI MPENZI WAKO NA KUMPAGAWISHA WAKATI WA TENDO kwa wakina dada

UTANGULIZI
Habari ndugu wasomaji wa makala hii ya MAPENZI BORA iliyoandikwa na kuletwa kwenu na mtaafiti na mshauri wa mambo ya Ndoa, Mahusiano, na Mapenzi kwa ujumla Dk. Kiofa (King of relationship). Leo katika makala yetu hii nitazungumza na akina dada juu ya mbinu na mambo ambayo huwafanya wanaume kujisikia wako ulimwengu mwingine wakati wa tendo la ndoa. Kuna umuhimu mkubwa sana kwa mwanamke kujifunza mambo haya na kuyafanyia kazi ili kuweza kumdhibiti mpenzi wako.
Imekuwa kawaida leo hii kwa wanaume walio wengi kuwa na nyumba ndogo, hii yote ni katika kutafuta mapenzi motomoto ambayo yatampagawisha. Akina dada mlio wengi leo hii mmejisahau sana kwa wapenzi wenu kiasi cha kwamba wanatoka nje ya mahusiano. Leo hii 75% ya watu nduniani ni wanawake na 25% tu ni wanaume kwa idadi hiyo wanawake ni mara tatu ya wanaume, niwengi sana hivyo kwenye kila wanawake 75, 25 tu ndio wanaoweza kuwa na wanaume wengine walio baki huwa hawana wanaume wao wa kudumu, hivyo hutumia kila mbinu kuweza kupata mwanaume ambae atamliwaza kama wanawake wengine. Hivyo yakupasa uwe na kila mbinu za kuweza kumfanya mpenzi wako akukumbuke kila mara na kutoweza kutoka nje ya mahusiano. Fuatili makala hii hadi mwisho, uielewe, uifanyie kazi halafu utaona matokeo yake.
Jinsi ya kumteka mumeo katika suala la ndoa na kumfanya asitoke njee ya mahusiano tutaangalia sehemu kuu tatu Kabla, Wakati na Baada ya tendo. Utajifunza taratibu na maeneo ambayo kitaalamu huwa yanamificho ya mihemko ya mwanaume na kumfanya mpenzi wako kujisikia raha wakati wote wa tendo.
SEHEMU YA KWANZA (Kabla ya Tendo)
Kabla ya tendo la ndoa kuna mambo mengi sana sana yakupasa kuyajua na kuweza kuyafanya wakati huo:
1.      Usafi wa mwili;  Kitu cha kwanza kukizingatia kabla ya yote lazima mwanamke uuweke mwili wako safi kabla ya tendo. Hii ikiwemo na kuoga mwili mzima, kusafisha sehemu zako za siri ikiwemo na mahala popote ambapo pamefichika kwani sehemu hizo wanaume walio wengi na wanaojua mapenzi hupenda kuzichezea sehemu hizo kwakua ndizo ambazo huhifadhi mihemko ya mwanamke. Baadhi ya wanawake hujisahau kujisafisha vizuri na kutoa jasho tu lililopo katika miili yao bila kusafisha sehemu nyenginezo ambazo hutumika katika masuala mazima ya tendo la ndoa huvyo kutokana na harufu za baadhi ya sehemu humpunguzia mwanaume hamu ya kitendo. Hakikisha masikio na kitonvu chako vipo safi. Pia hakikisha sehemu ya magoti yako kwa nyuma zipo safi

2.      Usafi wa chumba/mahali pakufanyia tendo; hakikisha unasafisha chumba au mahali ambapo umepaanda kwa ajili ya kuja kumliwaza mwenzi wako kabla hajafika eneo la tukio. Hii ikiwemo na kutandika kitanda vizuri sana kwa rangi za upendo (nyekundu) kama hauna basi jitahidi kpata rangi yeyote ambayo ni nzuri Ila usiweke shuka jeusi kwani rangi nyeusi ni rangi ya uzuni, pia kuweka manukato mazuri sana ikiwemo maua, kama ni wakati wa usiku ni vizuri kuandaa mishumaa au taa ya rangi

3.      Vaa nguo fupi (short skirt);  vaa nguo fupi (nusu uchi), hii humfanya mwanaume kupata mihemko pindi anapokuona, pia humuandaa kisaikolojia na kuufanya mwili wake kuwa tayari pindi utakapohitajika. Baadhi ya wanawake hupenda kuvaa nguo fupi watokapo na kuwaonesha watu wengine sehemu zao muhimu lakini hawafanyi hivyo kwa wapenzi wao pindi wawapo ndani hii sio tabia nzuri jamani, muonesho mumeo kwamba hakubahatisha kukuchangua wewe. Hakikisha nguo zako za ndani (chupi na sidiria) ziko safi na zenye mvuto.


4.      Usimuudhi mpenzi wako; hakikisha kwamba husababishi maudhi ya aina yeyote kwa mpenzi wako, ikiwemo lugha chafu, kumzungumzia na kumsifia mwanaume mwengine, mpambe mpenzi wako kwa majina mazuri (Baby, honey, my sweet, na mengineyo kama hayo) kabla ya tendo. Baadhi ya wanawake huwaita waume zao majina mazuri wakati wanapopewa zawadi tu au wakati wanapofikishwa kileleni hii sio sawa kabisa, sababu huu utakuwa ni unafiki mwanaume aweze kukufikisha kileleni anaitaji maandalizi bibi eeh, muandae kwa majina mazuri ili ajisikie furaha mwili upate kutulia kwani wengine huwa wameudhiwa huko walipotoka sasa unatakiwa kumtoa alipo na kusahau kabisa. kwani kitaalamu mwili unapotulia (relax) huondosha msongo wa mawazo hivyo utakuwa umeufanya ubongo wake uweze kukuwaza wewe wakati wote. itaendelea usikose kutembelea tovuti hii kila siku

Huu ndio uchafu unofanywa na wanavyuo


























      Aibu kubwa bado inaendelea kuitawala nchi kwa wimbi la wanavyuo wa vyuo vikuu kufanya mambo machafu ambayo anaashiria ngono uzembe. hii ni kutokana na kuenea kwa picha mbalimba za wanavyuo hao katika mitando mbalimbali wakiwa wanafanya ngono.
       Mwandishi wetu anaeleza kuwa sababu kuu zinazopelekea wanafunzi hao kufanya vitende hivyo vichafu ni kutafuta pesa za kujikimu kimaisha. Akizungumza na mwandishi wetu mmoja wa wanachuo wa chuo Kikuu (DUCE) jina limehifadhiwa. Amesema kuwa "tabia hiyo ipo sana kwa wanafunzi wakike kwa wengi wao kutokana na tamaa na matumizi makuwa pindi wapatamo pesa za kujikimu (BOOM)" alisema mwanachuo huyo.  

MPWA WA MAHITA AJINYONGA UKWENI

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Saidi Mchuma ambae inadaiwa kuwa ni mpwa wa aliyekuwa Inspekta Jenerali wa Jeshi la polisi, (IGP) Alhaji Omar Idd Mahita, amajinyonga ukweni kwa kutumia shuka.
  Tukio hilo limetokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Manispaa ya Morogoro. Marehemu alichukuwa uamuzi huo baada ya miaka saba tangu mkewe ambaye jina lake halikufahamika kufariki dunia. tangu kufa kwa mkewe marehemu hakufika ukweni ambapo kufika kwake kila mtu alishaa. marehemu alipewa chumba cha kulala baada ya muda mtu mmoja alishuhudia akiwa amejinyonga kwa kutumia shuka. Mwenyekiti wa serikali ya mtaa Bw. Mohamedi Seif alisibitisha kutokea kwa tukio hilo, pia jeshi la polisi mkowa wa Morogoro limethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Marehemu ameacha mtoto mmoja.

MSANII WA FILAMU BONGO AONESHA TATU HADI KWENYE MAKALIO


            Bado wimbi la wasanii wa bongo kuiga mambo na tabia za wasanii wa magharibi linaendelea kuitawala tasnia ya filamu inchini hapa. Pichani ni picha ya mmoja ya msanii wa bongo ambae anajulikana kama (Rayuu) akionesha tatuu zake ambazo zimeenea mpaka kwenye makalio. picha hizo zimeenea kwenye mitandao tofauti na ni aibu kubwa kwa wasanii hawa

BARCELONA YAGAWA KICHAPO KIZITO

   Tibu ya Barcelona ya nchini Spain jana imeendeleza ubabe wake kwa timu za Wingereza baada ya kuichapa Man city jumla ya mabao 2-0. mabao hayo ya Barcelona yaliwekwa kimyani dakika ya 54 na mshambuliaji wake mahiri Lion Messi na jengine kufungwa dakika ya 90 na mchezaji wake Alves. Matokeo hayo yameiweka timu hiyo Spain katika nafasi nzuri huku Man city wakiwa katika wakati mgumu.

Tuesday, 18 February 2014

MWANAMKE ABAKWA KISHA KUNYONGWA

MWANAMKE mmoja mkazi wa kijiji cha Upendo mkoani Mbeya Maria Mwamangu (56) ameuawa kwa kunyongwa na kisha mwili wake kutelekezwa chumbani mwake.Kabla ya kunyongwa, mwanamke huyo aliharibiwa vibaya sehemu za siri kwa kubakwa na watu wasiojulikana.Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Robert Mayala alisema tukio limetokea usiku wa kuamkia jana na mwili wa marehemu ulikutwa jana mchana

YANGA YAMPA CHEO KINGINE KOCHA WAO

Uongozi wa klabu ya Yanga umemwongezea  majukumu kocha wao mpya, Hans Van Der Plyum raia wa Uholanzi  kwa kumpa cheo cha Mkurugenzi wa Ufundi huku ukimtaka  awasilishe kwa maandishi ripoti yake kila wiki.
Plyum ambaye amesaini mkataba wa miezi sita kuinoa Yanga ambao  utamalizika Juni 30, tayari amejiunga na kikosi hicho kilichopo  kambini nchini Uturuki, ambapo kilikuwa chini ya kocha msaidizi, Charles Boniface Mkwasa.
Akizungumza jijini jana, Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Clement Sanga alisema wameamua kumpa Ukurugenzi wa Ufundi  kocha huyo wakiamini kuwa anaweza kufanya kazi yake kama kocha  na kutekeleza majukumu hayo mengine ndani ya klabu.
“Tunamwamini kocha wetu mpya, anaweza kutekeleza majukumu  yake, lakini tunachokitaka ni uongozi kuwa karibu na benchi la ufundi  na tulichokiamua ni kocha kutuletea ripoti ya mwenendo wa timu tena  kwa maandishi na siyo kwa maneno kama ilivyokuwa awali kila wiki,” alisema Sanga

Sunday, 16 February 2014

MAMA APIGWA MPKA KUZIMIA SABABU YA MAJI

Mwanamke mmjo Jijini Dar es salaam apigwa mpaka kuzimia na binti wa makamo. chanzo chetu kimeeleza kuwa mama huyo ambae jina lake limehifadhiwa walikuwa wakigombania foleni ya maji na binti huyo ambae pia jina lake limehifadhiwa katika mtaa wa keko machungwa ( Barracks bomba la polisi) ndipo binti huyo alipomkaba mama huyo shingo na kumfanya kuanguka chini kwa pressure na kupoteza fahamu.

AJALI YA MOTO SHULE YA OLD TANGA

Ajali ya moto yatokea shule ya sekondari old tanga leo tarehe 18/09/2019 mchana.kwa mujibu wa kamanda wa polisi chanzo cha ajali hiyo a...